Sawa

Jay once again Mapenzi tu, Nimepagawa hamjui Ye... kila mara ananifanya silali Namwaza yeye tu... Anayeweka roho yangu juu Ana utoto tu... Sema uzuri ananipaga asali Mi nalama tu... Na penzi letu ni kama sunna... Na ulinzi kama suma... Hata akinuna... Bado unapendeza mchumba... Mkimuona ananichuna Msinionee huruma... Cha mtu huliwa na mtu Kutu yake chuma... Basi mwambieni nampenda... Sawa... sawa... sawa... Ah mwambie mi nampenda... Yes Sawa... Right Sawa... Sawa...